• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai Yatoa Zaidi Ya Milioni 94 Za Mikopo

Imetumwa: January 14th, 2022

Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imetoa mkopo wa jumla ya shilingi milioni 94 na laki 9 na kuvikopesha vikundi 9 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Akikabidhi hundi yenye thamani ya fedha hiyo, mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafue amemshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuwatumikia watanzania hasa kwenye mikopo isiyokuwa na riba.

Saashisha amesema kuwa mikopo hiyo inayotokana na asilimia 10 ya makusanyo ya ndani ni ya kisheria hivyo vikundi hivyo vinapaswa kurejesha kwa wakati ili wengine waweze kupata mikopo hiyo kama ambavyo wao walivyopewa.

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai Dionis Myinga amesema kuwa lengo la kutoa mikopo hiyo ni kuimarisha uchumi wa wananchi wa wilaya hiyo na kuongeza kuwa hali ya urejeshwaji ni nzuri kwa vikundi ambavyo vimekuwa vikikopeshwa mikopo hiyo isiyokuwa na riba.

Kwa upande wao wanufaika wa mkopo huo waliozungumza kwa niaba ya wenzao Eva Kileo na Joseph Munishi kutoka kikundi cha Jitegemee Muungano wameishukuru Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuendelea kuwapatia fursa za mikopo hiyo huku wakiahidi kurejesha kwa wakati.

Halmashauri ya Wilaya ya Hai imetoa jumla ya shilingi 213,400,000 kama mkopo kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu  kuanzia mwezi Julai 2021 ikiwa ni  fedha za makusanyo ya ndani pamoja na marejesho ya mikopo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUMPATA FUNDI KWA AJILI YA JENGO LA MAABARA HOSPTALI YA WILAYA YA HAI March 29, 2022
  • TANGAZO LA KUTAFUTA FUNDI WA UJENZI JENGO LA KUIFADHI MAITI,SHIMO LA KUHIFADHI KONDO LA NYUMA,SEPTIC TANK...KATIKA KITUO CHA AFYA LONGO LINARUDIWA March 29, 2022
  • TANGAZO LA KUMTAFUTA FUNDI (LOCAL FUNDI) KWA AJILI YA UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA MAHUTUTI (I.C.U) KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI April 01, 2022
  • Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo 2020 May 30, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shilingi Milioni 93 Zatolewa Mkopo Kwa Vikundi Vya Vijana,Wanawake Na Watu Wenye Ulemavu

    April 26, 2022
  • Wilaya Ya Hai Imeadhimisha Miaka 58 Ya Muungano Wa Tanganyika Na Zanzibar Kwa Kufanya usafi

    April 26, 2022
  • Viongozi Watakiwa Kutoa Ushirikiano Katika Utekelezaji Wa Anwani Za Makazi

    March 21, 2022
  • Wakusanya Taarifa Za Anwani Za Makazi Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Weledi

    March 16, 2022
  • Ona Yote

Video

Wilaya ya Hai Nafasi ya 4 Kitaifa Darasa la Saba 2020
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai