• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Halmashauri ya Hai Yapata Hati Safi

Imetumwa: June 26th, 2018

HALMASHAURI ya  Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro  imefanikiwa kupata hati safi kutokana na utendaji wake wa ukusanyaji mapato  kwenye vyanzo vyake vya ndani  katika kipindi cha mwaka 2016-2017.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Helga Mchomvu katika kikao  cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ambapo amesema kuwa Halmashauri  imepata hati safi kutokana na watendaji wake na madiwani kufanya kazi kwa ushirikiano katika suala zima la kuhakikisha mapato yanakusanywa kwa kiwango kinachotakiwa.

Aidha amewataka watumishi kufuata misingi imara itakayowawezesha kudhibiti mapato na matumizi ya Halmashauri kwa kuondoa mapungufu yaliyojitokeza katika kipindi cha nyuma kama kuchelewa kuwasilisha mahesabu kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali(CAG) , kuchelewa kuwasilisha taarifa za matumizi  bila ya kuwa na viambatanishi vya malipo.

Mchomvu amesema kuwa kupatikana  kwa hati safi katika Halmashauri hiyo kutachochea zaidi kasi ya utendaji kazi ili kuweza kufikia malengo yaliyokusudiwa na  kuwashauri  madiwani  kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuweza kudhibiti mapato na matumizi ya Halmashuari na kuweza kufanya vizuri  zaidi.

Hata hivyo Mwenyekiti huyo  amewahimiza madiwani kufanya kazi kwa ushirikiano na kuepuka kufanya kazi kwa mazoea na kuwataka kuwatendea haki wananchi ambao wamewachagua kwa kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi pamoja na kutatua kero zinazowakabili.

Katika hatua nyingine madiwani wamekubaliana kuendelea kutumika kwa soko la walaji la Bomangombe kama ilivyokuwa likitumika wakati utaratibu wa kuanzishwa kwa soko la Gezaulole ukiendelea.

Matangazo

  • Tangazo la Huduma ya Kupima Macho Bure October 16, 2018
  • Mapokezi ya Fedha Mwezi April 2018 May 23, 2018
  • Majina Kuitwa Kazini :Afya 2018 July 09, 2018
  • Mkutano wa Baraza la Halmashauri August 27, 2018
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Mafanikio ya Awamu wa Tano katika Wilaya ya Hai

    February 03, 2019
  • Wilaya ya Hai Yaongeza Ukusanyaji wa Mapato

    February 02, 2019
  • Mikopo ya Halmashauri Kuwainua Wananchi Kiuchumi

    December 13, 2018
  • Serikali Yajivunia Mabadiliko Yanayoendelea Nchini

    December 09, 2018
  • Ona Yote

Video

MKURUGENZI HAI AWASHA MOTO KWA WATUMISHI WATORO
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2018 Shule za Wilaya ya Hai
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2018 Mkoa wa Kilimanjaro
  • MAtokeo ya Darasa la Saba 2018 Mikoa Yote
  • Planrep
  • Majukumu Ya Meya/Mwenyekiti wa Halmashauri,Madiwani,Viongozi wa Vijiji,Mitaa na Vitongoji.
  • Blog ya Wilaya
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2017
  • Mikopo kwa Wanawake na Vijana
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi: 0752195133

    Barua Pepe: mkurugenzi@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai