Thursday 3rd, October 2024
@Viwanja Jirani na Hoteli ya Snow View
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUSHIRIKI KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI AMBAPO KIWILAYA YATAADHIMISHWA SIKU YA TAREHE 08, MACHI 2020 KATIKA ENEO LA SNOW VIEW HOTEL.
MAADHIMISHO HAYA YATAANZA SAA TATU ASUBUHI KWA MAANDAMANO YATAKAYOANZIA KATIKA OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA KUPITIA BARABARA YA SANYA NA KUELEKEA ENEO LA HOTEL YA SNOW VIEW HOTEL.
KAULI MBIU INASEMA “KIZAZI CHA USAWA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA SASA NA YA BAADAYE”
USHIRIKI WAKO NI WA MUHIMU SANA KWANI HUDUMA ZA UPIMAJI WA AFYA SIKU HIYO ZITATOLEWA BURE KATIKA ENEO LA MAADHIMISHO. USIPANGE KUKOSA.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai