Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai anawatangazia waomba ajira waliofanya usaili na kufaulu kwa nafasi za Mtendaji wa Kijiji III, Mtunza Kumbukumbu na Katibu Muhtasi kuwa wanatakiwa kuripoti kwenye ofisi ya Afisa Utumishi Wilaya ya Hai tarehe 29-01-2018 saa mbili asubuhi wakiwa na nyaraka zao zinazohusika na ajira walizoomba pamoja na picha tatu (3) za Passport size za hivi karibuni.
KUITWA KAZINI JANUARY 29 2018.pdf
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai