Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anapenda kuwatangazia waombaji wa kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu II, Mtendaji wa Kijiji III na Katibu Mahsusi III kuwa usaili kwa waombaji waliokidhi vigezo utafanyika kuanzia tarehe 27/05/2021 na 28/05/2021 saa 3:00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Hai iliyopo Kata ya Muungano Mtaa wa Gezaulole barabara ya Dorcas.
Kuona orodha ya majina bofya hapa Tangazo la Usaili.pdf
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai