Orodha ya Waombaji Waliochaguliwa BVR OPERATORS NA WAANDISHI WASAIDIZI UBORESHAJI 2020.pdf
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Hai, anawatangazia watu wote walioomba na kupata ajira ya muda kwa kazi za BVR Kit Operator na Mwandishi Msaidizi kwenye zoezi la Kuboresha Daftari la Wapiga Kura kuwa wanatakiwa kufika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Siku ya Jumatano Tarehe 15/04/2020 Saa Moja na Nusu asubuhi.
Atakayeona tangazo hili amtaarifu na mwenzake.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai