• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wananchi Wahimizwa Kutunza Mazingira

Imetumwa: March 3rd, 2019

Jamii imehimizwa kutunza mazingira kwa kupanda miti katika maeneo mbalimbali yanayozunguka makazi pamoja na vyanzo vya maji.


Rai hiyo imetolewa na Afisa Ardhi na maliasili wilaya ya Hai Bw. Jacobo Samweli wakati wa zoezi la upandaji miti katika ziwa boloti lilipo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, ambapo zoezi hilo limeendeshwa na taasisi ya floresta kwa kushirikiana na idara ya Ardhi na maliasili huku likiwashirikisha wananchi wa vijiji vinavyozunguka ziwa hilo.


Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo waliojitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo pamoja na wanafunzi wa shule za Secondary Bw.Jacobo amesema kuwa hivi  sasa serikali itachukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa wale wote ambao watabainika kuharibu mazingira au kuchunga mifugo katika maeneo ambayo imekuwa ikioteshwa miti ikiwemo ndani ya ziwa hilo.


Amesema lengo lakufanya hivyo nikatika kuhakikisha hivi sasa mazingira yanatunzwa na kuwataka wakazi wanaozunguka ziwa hilo la boloti kuhakikisha sasa wanakuwa walinzi wa miti iliyooteshwa ndani ya ziwa lengo likiwa nikulinusuru ziwa hilo ambalo limekuwa likitumika kama chanzo cha maji na kuwa msaada mkubwa kwa wakulima.


Aidha amesema serikali ya awamu ya Tano imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha uoto wa asili pamoja na vyanzo mbalimbali vya maji vinalindwa na kutunzwa  kwani ndivyo vimekuwa msaada mkubwa kwa jamii ya wakulima hivyo ni wajibu wawananchi kuhakikisha wanaunga mkono serikali katika kuendelea kutunza mazingira.


Kwa upande wake mwenyekiti wa kitongoji  cha Maiputa Kata ya Masama Magharibi kijiji cha Kyuu Bw. Benson Ndosi  amesema kuwa wao kama wanakijiji tangu awali walishaweka utaratibu wa kutunza ziwa hilo kwakushirikiana na halmashauri  jambo ambalo hivi sasa linatekelezeka.


Ameongeza kuwa changamoto kubwa inayowakabili hivi sasa na baadhi ya wafugaji kulisha mifugo yao ndani ya ziwa kinyume na taratibu, jambo ambalo ameiomba serikali wilayani Hapa kuingilia kati na kuwasaidia.


Nao baadhi ya wananchi walioshiriki zoezi hilo wameipongeza serikali wilayani Hai kwakupitia idara ya Ardhi na mali Asili kwakuendelea kuona umuhimu wa ziwa hilo na hatua za kuendelea kulitunza na kulilinda kwani wao kama wananchi limekuwa msaada mkubwa kwao sana hasa katika msimu wa kilimo

Matangazo

  • TANGAZO LA UKUSANYAJI NA UZOAJI TAKA HAI MJINI September 27, 2023
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2023 WILAYA YA HAI November 23, 2023
  • MAJINA YA WALIOITWA USAHILI NAFASI ZA JESHI WILAYA YA HAI September 06, 2023
  • TANGAZO LA UKUSANYAJI NA UZOAJI TAKA HAI MJINI September 27, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Mhe Kaijage Awataka Watumishi Kufanya Kazi Kwa Bidii

    November 22, 2023
  • Mkalipa Ataka Viongozi Wa Dini Kufundisha Waumini

    November 08, 2023
  • Wananchi wa Kijiji cha Sanya Station Washukuru Ulipwaji Wa Fidia

    October 25, 2023
  • Mkurugenzi Dionis Myinga Aishukuru Kambele Kwa Msaada Wa Sementi

    October 23, 2023
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai