• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wakandarasi Watakiwa Kukamilisha Kazi Kwa Wakati

Imetumwa: May 8th, 2023

Wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa miradi ya miundombinu ya Barabara    Wilayani Hai wameagizwa kukamilisha mirada hio kwa wakati.

 Hayo yamesemwa Mei 8, 2023 na Mwenyekiti wa    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hai Mhe. Wang’uba   Maganda   pamoja na   kamati ya Siasa ya Chama hicho  Wilaya ya Hai  wakiwa katika ziara ya ukaguzi  wa utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025  kwenye  miradi mbalimbali  walitoa agizo hilo  baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Meneja wa wakala wa barabara vijijini na mijini (TARURA)   juu ya ujenzi wa barabara ya Nyerere na Bomang’ombe-Kikavu.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya TARURA inaonesha kuwa ujenzi wa barabara ya Bomang’ombe-Kikavu Chini utakamilka tarehe    25/08/2023 huku barabara ya Nyerere ulitegemewa kukamilika 26/02/2023 muda ambao umeisha na kwa sasa ameongezewa muda wa nyongeza.

“Kwahio unatuambia tarehe 31 Mwezi huu hatutakuona kwenye Site”? Aliuliza         Maganda kwa  Mkandarasi BUILDERS AND LIME WORKS LTD  anayenga barabara ya Nyerere. 

 Kutokana na hali Maganda amewasisitiza wakandarasi wote wanaofanya kazi katika wilaya ya Hai kuhakikisha kuwa  wanakamilisha miradi kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na miradi hiyo kama ambavyo Serikali imekusudia Awali akitoa taarifa mbele ya Kamati hiyo Meneja wa TARURA wilaya Kuya Francis alisema awali Wilaya ya Hai ilikuwa na Bajeti ya     takribani    bilioni moja lakini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aliongeza kiasi cha shilingi bilioni 4.5 na hivyo kufanya     bajeti hiyo kufikia  bilioni 5.5.

 Ameongeza kwakusema kuwa ujenzi wa barabara ya                    Bomang’ombe-kikavu Chini kwa kiwango cha lami yenye urefu wa 0.5 km  unaogharimu kiasi cha shilingi 299,00,000   barabara  Nyerere  yenye urefu wa 0.79  unaogharimu kiasi cha shilingi 418,225,000 ni sehemu ya miradi iliyotekelezwa kwa fedha hizo.  Aidha Fraincis alisema  lengo la miradi hiyo  ni kuwezesha huduma za usafiri na         usafirishaji, kuboresha mandhari ya mji, kuchochea shughuli za kiuchumi  pamoja na kupunguza gharama za matengenezo ya barabara mara kwa mara.

Matangazo

  • TANGAZO LA WAZABUNI WA VIFAA April 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA FUNDI MKUU UJENZI March 17, 2023
  • KUITWA KAZINI January 23, 2023
  • TANGAZO LA KAZI, MKUSANYA MAPATO NA MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DAWA January 24, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Wilaya Ya Hai Yapata Shilingi 949,000.000 Za Mradi Wa BOOST

    May 15, 2023
  • Jukumu La Kupanda Miti Ni La Kila Mwananchi

    May 10, 2023
  • Madiwani Watakiwa Kusimamia Fedha Za Maendeleo

    May 10, 2023
  • RUWASA Waagizwa Kutoa Bei Elekezi Ya Maji

    May 08, 2023
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai