Mkurugenzi mtendaji wa Halmshauri ya wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewataka wadau wa uchaguzi pamoja na vyama vya siasa kufuata kanununi na sheria za uchaguzi katika kipindi hiki cha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu.
Ametoa wito huo wakati akizungumza katika kikao kilichowakutanisha wadau wa uchaguzi wilayani Hai pamoja na msimamizi wa uchaguzi huo jimbo kilichofanyika ndani ya ukumbi wa Halmashauri hiyo, kikiwa na lengo lakutoa maelekezo yanayohusiana na uchaguzi huo.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai