• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Vijana Wilayani Hai Kukopeshwa Bajaji Wajiajiri

Imetumwa: August 5th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya ameahidi kutoa mkopo wa Bajaji 15 kwa vijana madereva wa bajaji wa wilaya hiyo ili kuwawezesha vijana hao kujiajiri na kuchangia pato la Taifa.

Ole Sabaya amesema hayo wakati akizungumza na madereva bajaji  wa Hai mjini katika kikao kilicholenga kufanya tathmini ya utatuzi wa changamoto zinazowakumba madereva hao zilizowasilishwa kwenye kikao cha awali  kilichofanyika mwezi Mei mwaka huu kikiwakutanisha madaereva bajaji na mkuu huyo wa wilaya.

Ole Sabaya amemtaka mwenyekiti wa madereva Bajaji Pendaeli Nkya kuweka utaratibu wa wazi wa kupata  majina ya madereva wanaohitaji mikopo ndani ya vikundi vyao ili wapatiwe Mikopo hiyo na kuondoa changamoto zinazowakumba katika kazi hiyo.

Amesema kuwa baadhi ya changamoto zilizowasilishwa na madereva hao ni pamoja na ubovu wa baadhi ya barabara ikiwemo ya St. Dorkas iliyopo katika kata ya Muungano ndani ya mamlaka ya mji mdogo wa Bomang’ombe ambayo hivi sasa imeshaanza kufanyiwa ukarabati kwa kiwango cha changarawe.

Aidha amesema pamoja na kutatua kero hizo serikali itaendelea kuwa nao wakati wote na kwa changamoto zozote  kwani madereva bajaji wanafanya kazi vizuri na kuwataka waendelee na uaminifu katika kazi yao.

Kwa upande wake Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wilayani Hai (DTO) Mbarouk Abdalah amesema kuwa hali ya usalama barabarani kwa wilaya ya hiyo iko salama na kuwataka madereva kuendelea kuzingatia sheria za usalama barabarani na kuacha tabia ya kuzidisha abiria kwenye vyombo vyao jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao.

Na baadhi ya madereva wameishukuru serikali ya  wilayani Hai kwa kusikiliza kero zao na kuzitatua kwa wakati huku wakimpongeza mkuu wa wilaya hiyo kwa kuwa mstari wa mbele katika kutetea wanyonge.

Mkuu wa Wilaya ya Hai mara ya mwisho alifanya mkutano na madereva hao ambapo alipokea kero mbalimbali zinazowakabili kwenye majukumu yao na kuendelea kutatua baadhi ya kero ikiwemo ubovu wa barabara unaosababisha kuharibu vyombo vyao ambazo hadi kufanyika kwa kikao cha pili barabara zote za maeneo ya Mji Mdogo wa Hai zimerekebishwa na  nyingine zikiendelea kushughulikiwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA, MWANDISHI MWENDESHA OFISI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU NA MHUDUMU WA JIKONI June 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Serikali Kuboresha Soko La Parachichi

    June 11, 2025
  • Ng'ombe Elfu 88 Kupata Chanjo Ya Mapafu Wilayani Hai

    June 12, 2025
  • Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Yametakiwa Kushirikiana

    June 10, 2025
  • Mbunge Wa Jimbo La Hai Aomba Matengenezo Ya Barabara

    June 10, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai