Umoja wa vyama vya Ushirika wa Mradi mmoja -Lemkina Katika Kata ya Masama Magharibi kimekabidhi eneo la ekari Moja kwenye thamani ya shilingi millioni 18 kwa Shule ya Sekondari Kyuu iliyopo Kijiji cha Kyuu Kata ya Masama Magharibi Wilayani Hai.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai