• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Accounts and Finance
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Halmashauri ya Hai Kuendelea Kuwaelimisha Wananchi Kujikinga na Corona

Imetumwa: April 7th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Hai inaendelea kuchukua hatua za kujikinga na kuwalinda wananchi wake dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mafua inayosababishwa na virusi vya corona kwa kutoa elimu kwa wananchi wake kuhusu namna bora za kujikinga na kuzuia kuenea kwa virusi hivyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Yohana Sintoo akizungumza baada ya kamati ya kuhamasisha na kuzuia Virusi vya Corona wilayani hapo kufanya ziara katika Soko la Kwasadala kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi.

Amesema kuwa hivi sasa wamekuwa wakitembela katika masoko mbalimbali yaliyopo katika wilaya hiyo ili kujionea hali halisi kwenye maeneo hayo ya mikusanyiko na kujua ni hatua gani zitafaa kuchukuliwa.

Sintoo amesema kuwa baada ya kuona changamoto zilizopo kwenye masoko hayo ikiwa ni pamoja na eneo la kunawa mikono kukosekana hivi sasa halmashauri hiyo itaweka matenk ya maji kwenye kila mlango wa kuingia na kutoka katika masoko hayo hususani soko la kwasadala linalokusanya wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Kilimanjaro.

Pia amesema Wilaya inafuatilia kwa ukaribu wageni wanaoingia kutoka maeneo mbalimbali na nje ya nchi na kwamba tayari amekwishaagiza Watendaji wa Kata wakishiriana na Watendaji wa Vijiji  kuhakikisha kuwa wanapata taarifa za wageni hao na kwamba katika taarifa ambazo tayari wamekwishazipata kutoka kwa wananchi juu ya wageni walioingia kutoka Nje ya Nchi tayari hatua zimeshachukuliwa ikiwa ni kuwapeleka Karantini kwa siku 14.

Aidha amewataka wafanya biashara wote Kuweka vyombo vya kunawia maji  yanayotirika na Sabuni pamoja na vitakasa mikono kwenye maeneo yao ya biashara na kuhakikisha kuwa kila anaefika maeneo yao ananawa mikono yake wakati wakuingia na wa kutoka.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA YA UDEREVA March 28, 2025
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI December 20, 2024
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA HAI 2024 December 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA October 29, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • CRDB Yakabidhi Darasa ,Mkuu Wa Mkoa Ashukuru

    May 16, 2025
  • DC Hai Haimiza Wananchi Kujiandikisha

    May 16, 2025
  • Watakiwa kufanya Kazi Kwa Kuzingatia Miongozo Ya Tume

    May 14, 2025
  • Shule Ya Msingi Nguzo Nne Yashika Nafasi Ya Pili Kwa Usafi

    April 09, 2025
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai

    Simu: 0754553560

    Simu ya Mkononi: 0754553560

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai