• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Kupata Kibali cha Kusafirisha Mazao ya Misitu

Hatua Muhimu za kupata Kibali cha Kusafirisha Mazao ya Misitu 

  1. Kibali cha kusafirisha mazao ya misitu kinatolewa na Wakala wa Misitu Tanzania TFS (Tanzania Forest Service)
  2. Mteja aliye ndani ya Wilaya ya Hai anatakiwa kuandika barua ya kuomba kibali Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Hai, na barua hiyo inatakiwa kupitia kwa Mtendaji wako wa Kijiji ili Mtendaji huyo athibitishe ombi lako. Pia barua ya maombi lazima iambatanishwe na kibali cha Mteja alichopewa kuvuna zao la misitu husika.
  3. Wataalam wa Misitu Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji watatembelea na kufanya ukaguzi ili kujiridhisha kuhusu zao la misitu linalotakiwa kusafirishwa.
  4. Wataalam wakiridhika na ombi la Mteja,basi mteja atalazimika kulipia ushuru wa asilimia 5 ya bei ya kununua au kuuza; ushuru huu utalipwa kwa halmashauri ya Hai na Mteja anatakiwa kupatiwa Risiti
  5. Baada ya Mteja kufanya malipo ya Ushuru kwa Halmashauri, kibali cha kusafirisha zao la misitu kitatolewa kutoka TFS.
  6. Kibali kitakachotolewa kitatumika ndani ya muda maalumu tangu tarehe ya kutolewa. Mteja anashauriwa kutoa taarifa ofisi aliyopata kibali au ofisi ya karibu iwapo atapata tatizo la kukwamisha kusafirisha mzigo wake kwa muda uliowekwa ili kupata msaada zaidi.
  7. Iwapo Mteja hajatoa taarifa yoyote ndani ya siku tatu, kibali hicho kitakuwa hakitumiki tena na mteja huyo atalazimika kuomba tena kibali kingine.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA USAHILI NAFASI ZA JESHI WILAYA YA HAI September 06, 2023
  • TANZGAZO LA ZABUNI SEKONDARI YA MATUNDA July 20, 2023
  • TANGAZO LA WAZABUNI WA VIFAA April 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA FUNDI MKUU UJENZI March 17, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Serikali Kujenga Mahakama Ya Mwanzo Machame

    September 07, 2023
  • Serikali Kutekeleza Mpango Wa Makuzi Na Malezi Kwa Watoto

    September 01, 2023
  • Wadau Wa Maendeleo Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Ushirikiano Katika Malezi Ya Mtoto

    August 29, 2023
  • Mwenyekiti UWT Apongeza Watumishi Divisheni Ya Maendeleo

    August 29, 2023
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai