TANGAZO LA USIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2020
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai anawatangazia waombaji wa nafasi mbalimbali kuwa wamechaguliwa kusimamia Uchaguzi Mkuu katika Jimbo la Hai kwa nafasi za Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Kupigia Kura, Msimamizi Msaidizi na Karani Mwongozaji. Maelekezo yapo kama ifuatavyo:-
Kupata tangazo Bofya Hapa KUITWA KWENYE MAFUNZO YA USIMAMIZI UCHAGUZI MKUU 2020.pdf
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai