Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 Halmashauri ya Wilaya ya Hai Ndugu Juma Masatu anawatangazia Walioteuliwa nafasi ya Waandikishaji Wapiga Kura (Rejea Orodha ya Majina) kuwa wanatakiwa kufika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Siku ya Ijumaa tarehe 04/10/2019 SAA MBILI KAMILI ASUBUHI bila kukosa.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai