Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai; anawapongeza waombaji wa ajira kwa nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu waliofanya usaili wa maandishi na kufaulu kushiriki awamu ya pili ya usaili wa mahojiano.
Usaili wa mahojiano utafanyika kwenye Shule ya Sekondari Hai siku ya tarehe 22/10/2017.
Kumbuka kuja na nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya sekondari na vyeti vya taaluma.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai