Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anapenda kuwataarifu waombaji wote wa nafasi za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III (nafasi 31), Katibu Mahsusi Daraja la III (nafasi 1) na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Nafasi 1) kuwa usaili unatarajiwa kufanyika siku za tarehe 19 - 21 Oktoba 2017 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Hai iliyopo Kata ya Muungano, Mtaa wa Gezaulole barabara ya Dorcas.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai